Nahitaji asali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji asali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by frozen, Jul 15, 2012.

 1. frozen

  frozen Senior Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari wanajamii plz nahitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante.
   
 2. phina

  phina JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ungekuwa mbeya ningekuelkeza sehemu ya kupata..
  nasikiaga watu wanapenda asaki ya nyuki wadogo-kwamba ndo nzuri..
  au asali mbichi..nasikiaga ni nzuri pia.sijui kama ni kitu kilekile au kuna tofauti..
  kama vipi nenda katafute kariakoo ila ujiandae kupoteza mda mwingi na bugdha haswaa!!
   
 3. c

  cheseo Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mkunwa niPM tuwasiliane mimi niko morogoro nna asali mbichi kutoka tabora
   
 4. phina

  phina JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hivi..asali mbichi ndio nini haswaa??nasikiaga tu ikisifiwa
   
 5. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Litre moja ya asali ni shilingi elfu kumi, njoo mtaa wa mkunguni na sikukuuu, ulizia kwa Mfalme Katungunya, utapata
   
 6. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,974
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  unahitaji lita ngapi? mimi ninayo kama lita 360 hivi,,
   
 7. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,974
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  lita nauza shs 6000,,ni kwa jumla mkuu,,
   
 8. m

  mzee wa busara Senior Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mkuu ni PM nikupatie asali mbichi kutoka TBR,naweza kukufanyia TSH 35,000 kwa lita tano,pia ukitaka ya nyuki wadogo inapatikana pia lkn bei yake ipo juu kidogo.
   
 9. M

  Mparanyanga Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Kwa mahitaji ya MDALASINI WA UNGA na ASALI MBICHI,tafadhali wasiliana nami kwa namba hizi: 0754 255 734/0712 259 129[/FONT][FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Asali lita1 Tsh10,000 na Mdalasini ni Tsh 2,000[/FONT]
   
 10. N

  Nguvu sio Pesa JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2017
  Joined: Dec 5, 2013
  Messages: 209
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  MWENYE ASALI KUTOKA MBEYA NI PM.
   
 11. bigmind

  bigmind JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2017
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 6,758
  Likes Received: 5,827
  Trophy Points: 280
  Nikuagizie Tabora..! Huwa naleta na kupeleka Nairobi.
   
 12. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2017
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 80
  MWENYE ASALI AMBAYO INAPUNGUZA UNENE
   
Loading...