Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndg zangu wanajopo mimi ni mkulima natafuta njia ya kuwasiliana na wale wachina wanaotoa mbegu ya mihogo yeyote anayejua njia ya kuwasiliana nao tafadhali anijuze haraka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza unga wa mahindi lishe au mahindi ya njano ni mzuri sana na unafaa kwa watoto kuanzia miez sita hadi wazee. Kilo ni 3000 tu napatikana mbezi ya kimara. Kwa mawasiliano zaidi 0715 336718
0 Reactions
1 Replies
3K Views
>Tecno-W3 >Internal storage 8.00GB >Inamiezi 5 tangu inunuliwe >Haina tatizo lolote >Bei ni Tsh 120,000/= >Mahali ilipo simu ni Dar es salaam, Mwenge >Kwa mawasiliani - 0677 284 479
0 Reactions
4 Replies
862 Views
Nahitaji fremu ya kupanga kwa ajili ya depot ya vinywaji baridi na bidhaa za jumla maeneo ya Goba, Massana, Mbezi Mwisho. Tafadhali ni-pm kama una eneo
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Reuters CME Group Inc (CME.O) on Friday said it will launch its bitcoin futures contract on Dec. 18 to provide a regulated trading platform for the cryptocurrency futures market. The bitcoin...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Habari wanajamvi Natafuta kamera hi tajwa hapo juu,mtu yoyote ambae anauza nijuze 0758728258
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Habari WanaJamii Kwa wale wanaohitaji kusambaza na kutafuta masoko ya bidhaa zao wilaya ya Tarime (mjini na vijijini).. Mfano Bidhaa za; **hardware (ujenzi, ufundi, welding) **Kilimo ( mbegu...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Usipitwe na offer hii. Jipatie blog ya WordPress kwa tzs 55,000/. Gharama hii inajumuisha hosting ya mwaka mzima, domain name ya .com pamoja na designing. Tuwasiliane hapa 0719658086
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Habari WanaJamii, Kwa wale wanaohitaji kusambaza na kutafuta masoko ya bidhaa zao wilaya ya Tarime (mjini na vijijini).. Mfano Bidhaa za; **hardware (ujenzi, ufundi, welding) **Kilimo ( mbegu...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Are you a supplier or service provider with the best deal. We will help to advertise FREE ON BIG MARKET TZ . COMPETE WITH BIG BRANDS ONLINE LET YOUR BUSINESS GO VIRAL ONLINE...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Habari zenu wadau? Mimi ni mjasiliamali naishi Singida. Natafuta mtu mwenye stationary au aliefunga biashara hiyo ila ana mashine ya kutolea copy ya ziada au haitumi. Nahitaji kukodisha au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lahe hotels ya Mwanza yenye hadhi ya nyota tatu inatafuta proffessional manager mmoja mtanzania au kutoka nchi jirani mwenye uzoefu wa kuendesha hoteli na pia receptionist mmoja na waitress...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
GRAM TECH COMPUTER SOLUTION. Tunashugulisha na kazi zifuatazo:: 1.Software upgrades and installation 2.OS installation(Windows 10,8.1,7,Vista,XP) 3.Internet Security 4.Microsoft office...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Natafuta Carina GT. Kuanzia namba C iwe Katika mazingira mazuri. Njoo na offa yako.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina masalia ya dola za marekani niliyosave safari yangu ya ulaya. Kuliko niyauze bureau afu wapige profit kwa mteja wa mwisho bora niyauze mwenyewe, anayehitaji anipm.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sanyo Used miezi 3, 420,000 Samsung mpya 750,000 Zote zina horse power 2.5 Namba ya muuzaji ni ‭+255 67 949 7537‬ Huyo ndo muuzaji anayehutaji amcheki
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zipo Ekari 300 Zinapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe Kwa mawasiliano zaidi 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846 Zinauzwa kuanzia heka 10 na kuendelea. Bei ni tsh laki moja tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wandugu hivi hapa Dar kuna anayefahamu Mahali wanapofanya biashara ya" ku Trade" in magari?yaani wanachukua gari lako la zamani, unaongeza pesa na kupewa gari jingine jipya zaidi . Yeye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wanaohitaji viwanja vya makazi vilivyopimwa..ndani ya eneo lenye huduma na makazi tayari. Eneo linafikika..mtaa unaitwa Leperanya/kwa pius.. Mita 300kutoka kituo cha daladala/soko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kibanda change nahitaji fundi wa mfumo wa umeme na mabomba kabla ya kupiga plasta, awe Dar, vifaa vyote nitanunua mwenyewe yeye nitamlipa ufundi tu, mimi nipo ulongoni Gmboto. ni nyumba ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…