Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hello Ladies and Gentlemen kuna chumba kwa ajili ya biashara kinapangishwa MKABALA NA IDARA YA MAJI Arusha kama una mtu unayemjua please let's me know please
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kadiri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo teknolojia inavyokua, na sasa wengi wetu tunanunua vitu online...SASA Kwa mini uendelee kuibiwa na matapeli pale unapofanya manunuzi??kutofaham bei...
2 Reactions
0 Replies
592 Views
Habari wakuu. Naomba kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana powerbank za laptop.nahitaji moja nzuri kwa ajili ya laptop yangu.
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!! Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Iwepo Iringa,Morogoro,Dar au Tanga. Bajeti yangu in sh 700,000 taslimu.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Niliagiza wino ukaja kwa namba tofauti hivyo hausomi kwenye printer yangu uko piece kumi Mwenye printer inayo match na huu wino tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za usiku wana jf,mimi natafuta chumba cha kupanga arusha mjini kisiwe mbali na jengo la OKI kisizidi sh 40000 kma kitapatikana tafadhali ni PM nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!! Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Habari rafiki, na hongera kwa kuiona siku ya leo, Nauza gari sababu ya kuuza ni kubadilisha gari nyingine. Aina: Noah Number: D Siti: 8 Bei: 9000000 inaongeleka Note: Mimi ni mmiliki na si...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naitaji screen hp250 g4 used kuna mtu mwenywe nayo au hata mpya lakni price iwe kdg ya kushikika.. hit me up 0716978190
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Pata bando dk 600 mitandao yote+3000sms+3GB mwezi mzima sh elfu 30 ( 0715387684)popote ulipo unapata
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Natafuta was enyeji wa mikoa ya shinyanga singida Dodoma n morogoro. Ambao tunaweza Fanya biashara ya samaki kwa uaminifu...ambaye sio mbabaishaji anicheki kwa namb 0688644047 all the best
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninauza simu aina ya Tecno W4. Ninapatikana Mwanza Nyegezi. Kwa anayeihitaji anipigie kwa namba 0767151519. Bei ni 160K. Mazungumzo yapo.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Iwe tecno budget yang ni 100k
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nnatafuta soko la asali mbichi ya nyuki wakubwa.nauza sh180000/= kwa dumu la lita 20. Nina madumu 30 na bado nina uwezo wa kupata mengine kama yanahitajika. Kwa anayelifahamu soko tafadhali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samsung earphonewireless na normal mousemodem inacatch hotspotusb za iphone Kama unahitaji niinbox or nicheki whatsup and telegram kupitia 0769509430
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mazhim Tanzania limited is a Registered company with reg no 95507 Incorporation Date 28th November 2012 Place of registration Dar es salaam, Tanzania Postal Address P.O Box 62279, Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kampuni ya mastech IT solution inatoa ofa ya kutengeneza website kwa bei nafuu security ipo juu sana tunatumia firmwork za kisasa zaidi kama laravel pia tunatoa huduma za computer maintainance and...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Habar, napenda kujaribu biashara hii ya dagaa wakavu kwa hapa mbeya, mwenye kuuza kwa jumla, ama kunipa utaratibu wa biashara hii, anipe mwongozo tafadhari
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom