Toyota Ractis 2006 generation .Engine capacity 1490 cc, aina ya Engine ni 1NZ Fe Vvti
Imetembea 75947 Km
Fully Air Conditioned,
Dvd music player,
Cctv Camera
Airbags..
Bei 9.5 mil.
Kwa...
Music system nzuri sana na kubwa
Ina spika mbili kubwa
Ina deck ya DVD
Ina USB ports mbili (matundu ya flash)
Ina droo mbili kwa ajili ya kuwekea CD na vitu vidogo
Ina disco lights
Ina uwezo...
Wanaja JF kama kuna mtu ana kiwanja Goba chenye hati ani PM.
1. sqm 1000-2000
2. Budget isizidi 25M
3. Kisiwe kinadaiwa na Bank
4. Bei iwe realistic na eneo uhusika
Nawasilisha.
Tunauza Viwanja Block DD Kigamboni pembeni ya DAR AUTOMOBILE PARK(Kule show room za magari zinakohamia kwa maelekezo ya mh mkuu wa mkoa) Bei Tsh 7,000 kwa mita ya mraba, Mfano mita za mraba 400...
Mega sale! Punguzo kubwa la zaidi ya 50%. Wahi sasa! Mashine ya kukatakata majani ya mifugo size tofauti, pia inasaga mchaichai kwa Tsh 1,350,000 tu badala ya 2,250,000/=. Mashine ipo tayari...
Habari zenu wana JF kama Heading inavyojieleza Gari aina ya Land Cruiser GX V8 inauzwa kwa bei poa kabisa ya Mil.115 lakini pia maongezi yapo na bei inaweza kupungua kidogo kutokana na hali ya...
Wadau
Ninatafuta nyumba ya kawaida ya kununua maeneo ya Kinondoni ,Tabata ,Mbezi beach ,Kimara ,Mwenge,Knyama ,Makumbusho,Mwananyamala ,Sinza, kurasini ,mtoni nk kwa kifupi isiwe nje sana na...
Habari zenu wana JF kama Heading inavyojieleza Gari aina ya Land Cruiser GX V8 inauzwa kwa bei poa kabisa ya Mi.115 lakini pia maongezi yapo na bei inaweza kupungua kidogo kutokana na hali ya...
Kwenye group langu la whatsapp nina group kubwa lenye wafuasi wengi east africa, sasa kwa ajili ya elimu na kuliboresha liwe tofauti na mengine kama mdada mwenye utaalam huo yupo, anione whatsapp...
Ndugu wana Jf,ubashiri wa mechi 12 una options nyingi,ambapo ilizilete mafanikio,ushirikiano ni muhimu na ni baada ya options zote kuwa mikononi mwa watu.Pia hizi options zinaweza kutumika kuunda...
Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Shamba lipo kilimanjaro ila mikoani tunaleta kutokana na order .
Kwa mawasiliano zaid
0713879793/ 0766532505