Mananasi yanauzwa

Mananasi yanauzwa

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
37,428
Reaction score
108,436
Wakuu, nina mananasi yangu shambani yamekwiva, yataniozea. yapo lubambawe, mkuranga. Heka 2

0659445718
0783289273

Pm pia iko wazi
 
Toka jf nenda kwa wale wanauza mananasi mf.stend n.k wananunua mananasi mengi kwa bei ya jumla
 
Nashkuru mkuu..

Jf ni kichaka ndio maana nikaanza na hapa inawezekana humu hao wa kiwatafuta mtaani wamo humu pia.

Nashukuru kwa mchango.
 
Mkuu mananasi yaoze na Skuku izi ni dhambi isiyo sameheka uza nenda sokoni Tafuta wanauza jumla me kuna kipindi nlilima kabichi wakawawananipa bei za hasara nikavuna nikaingia sokoni mwenyewe rejareja na jumla jioni mzigo umebaki kidogo mno nikapatia madalali Kesho yake nikapokea changu nikawapa chao Haya maisha kuna muda lazima ujitoe ufahamu kama unapenda hela na upendi hasara
 
Watu wanauzia mpka kwenye but za magar yao ,, tafuta eneo mwaga nanasi vunja bei utaona utakavyouza
 
Mkuu mananasi yaoze na Skuku izi ni dhambi isiyo sameheka uza nenda sokoni Tafuta wanauza jumla me kuna kipindi nlilima kabichi wakawawananipa bei za hasara nikavuna nikaingia sokoni mwenyewe rejareja na jumla jioni mzigo umebaki kidogo mno nikapatia madalali Kesho yake nikapokea changu nikawapa chao Haya maisha kuna muda lazima ujitoe ufahamu kama unapenda hela na upendi hasara
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom