Nahitaji vifaa vya mazoezi ya kujazia mikono

Piga push up kila siku 50, lakini kama ni ndio unaanza basi anza ata na 20. Kwa kipindi cha miezi miwili tu utapata mabadiliko kwenye kifua, mikono na pia utapata pumzi za kutosha.
kwa hiyo nikipiga ile asubuhi push ups 50 sina haja ya kupiga tena jioni sio?

Na vipi nikifanya halafu baada ya kuona mabadiliko nikaacha

Nini kitatokea?
 
kwa hiyo nikipiga ile asubuhi push ups 50 sina haja ya kupiga tena jioni sio?

Na vipi nikifanya halafu baada ya kuona mabadiliko nikaacha

Nini kitatokea?
Kitakachotokea utakiona ukiona mwenyewe baada ya kuacha!
 
Kwanza hiyo 666 maanake nini? Inaonekana wewe unataka kuumiza binadamu wenzako!
 
Wakuu nahitaji vifaa vya mazoezi ya kujazia mikono nitapata wapi na kwa sh ngapi?

Kama unajua mazoezi unayotaka kufanya, nenda Game Mlimani City section ya vifaa vya mazoezi utakuta kila unachokitaka. Kama hujui mazoezi ni bora u-google, kisha nenda Game ukanunue.
 
Kama unajua mazoezi unayotaka kufanya, nenda Game Mlimani City section ya vifaa vya mazoezi utakuta kila unachokitaka. Kama hujui mazoezi ni bora u-google, kisha nenda Game ukanunue.
naandikaje sasa mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom