elite wa Geita
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 157
- 190
Chumba na sebule 130,000/= Tungi kigamboni sehemu nzur wapangaji 3
Nimeitafakari hii comment yako sijapata jibuAisee madirisha yake Mazuri sana.
Ni ngumu sana kuielewa na kupata jibu, mpaka uwe Genius.Nimeitafakari hii comment yako sijapata jibu
Rafiki kitu usichokijua si vizur kukisemea vibaya hujaifahamu hii nyumba,wewe si muhitaji hii nyumba ni moja ya nyumba classic na siba haja kuipigia debe inajieleza kwa muhitaji, na haipo uswahilini si tungi hiyo ujuayo wewe hapa si mbali na kwa Msomari sheli.Tungi nayoifaham chumba na sebure 130K? Hyo bei ni plus jiko, bafu na choo?. Huko ni uswahilini hata kama vyote vinapatkana kwenye nyumba hyo lakin si kwa bei hyo
Uf*la kabisa huu.Nyumba ya rangi ya cc*** [emoji23][emoji23][emoji23]nikilala humu usiku lazima niote nimetekwa
Ni very simple ukiangalia masharti ya JF kwenye matangazo ya biashara.Nimeitafakari hii comment yako sijapata jibu
I know man. Nilikuwa namjaribu tu huyo dogo anavyopenda sifa sasa umeona alichojibu?Ni very simple ukiangalia masharti ya JF kwenye matangazo ya biashara.
Weka kila kitu wazi, hapo ameweka maelezo madogo sana.
I thought soI know man. Nilikuwa namjaribu tu huyo dogo anavyopenda sifa sasa umeona alichojibu?
[emoji1]Nyumba ya rangi ya cc*** [emoji23][emoji23][emoji23]nikilala humu usiku lazima niote nimetekwa
Sishangai mana avatar yako imenipa jibuUf*la kabisa huu.