Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba lenye ukubwa wa hekari tano linauzwa lipo maeneo ya kongowe halmshauri ya mji wa kibaha bei maelewano!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu nina mpango wa kuanzisha biashara ya mafuta asili ya kujipaka ambayo natengeneza mwenyewe. Ni namna gani naweza kupata vifungashio.
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Nauza gari aina ya Toyota PROBOX. Kwa anayehitaji twaweza kuwasiliana. > Gari ni ya mwaka 2008 > Imetembea (kilometa) 42000km > Ukubwa wa injini ni Cc 1500 > Ni Automatic, > Rangi nyeupe Maelezo...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
New Samsung Galaxy S6 Plain 32GB Bei 430000. Call 0718028224
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa 25m Vyumba sita,nyumba ya kawaida tu Jiko njee choo nje. Unaweza kufanya adjustment kuweka masterbedroom ya kishkaji Umeme na maji yapo. Karibu na huduma zote muhim,shule nk.Mjini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Resonate Consulting Group is pleased to announce the first intake of participants for CISA training for 2018. This practical hands-on CISA training will enable participants to acquire marketable...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani natafuta soko la kuku chotara! napatikana morogoro mjini. karibuni!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu anaishi maeneo ya Kibaha anatafuta Fundi wa CCTV camera wa eneo la Kibaha! Shida ni kufunga camera hizo nyumbani kwake! Kama Fundi huyo yupo ajitokeze akamate huo mpunga!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna screen na cover lake, RAM 4gb, battery, keyboard na mouse sensor, mlango wa cd ,processor, na fan. Namba: 0652612028
0 Reactions
0 Replies
594 Views
MwenyeToyota probox iliyo kwenye hali nzuri
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu heshima kwenu jukwaa lenye madini mbali mbali ya elimu,anaefahamu jinsi ya kupata hii mashine ya kusaga na kuhifadhi tangawizi ktk pakti na zenye lebo kisha kuuza nje ya nchi ili...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Wakuu aina gani ya SIMU naweza ipata kwa bajeti ya laki moja kwenye tigoshops au airtelshops
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Habari zenu wote? Tunasafirisha mizigo ya aina mbalimbali kutoka Arusha,Moshi hadi Tanga. Tuna lori zetu ambazo huwa zinakuja kuchukua sementi Tanga na hivyo kuja zikiwa tupu na kurudi na mzigo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Laptop aina ya HP inauzwa bei poa HDD 300, RAM 4, pia ina Web camera inatunza sana chaji. Location Dsm Bei 250000 haipungui. PM Kwa anayehitaji
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Nauza laptop yangu aina ya advent,ni nzima kila kitu kasoro spika hua inatoa sauti ya mkwaruzo wakati wa kuwaka ila kila kitu kipo okay. Ram:4Gb Hdd:500gb Processor:duo core Karibuni bei ni chee...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
jipatie mkoba wa kijanja kwa bei nafuu kabisa. pendeza na tokelezea kijanja kwa malighafi bora kwa mawasiliano zaidi watsup 0769103506 halotel 0621095493
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Habari za majukumu wadau wa JF. Nauza kitanda cha mninga 5*6 na godoro lake nchi 8, vyote vimetumika miezi mitano tu..... nipo Dar tmk mtongani phone no: 0715253904 au 0744774462. Karibuni sana...
1 Reactions
43 Replies
14K Views
NAUZA SIMU AINA YA SAMSUNG GALAXY J7 2016 nina shida nataka kurudi mkoani. Niko pugu dar. Simu iko vizuri nimenunua mwaka huu mwezi wa pili dukani. Bei laki 3 na 20tu. kwa mawasiliano 0655101826.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
True Ink Associates inapenda kuwatangazia wote kuwa review class ya CISA (Certified Information Systems Auditor) itaanza tarehe 03/04/2017, Dar Es Salaam City Center. Kozi ni ya week tano (5)...
0 Reactions
14 Replies
984 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…