Laptop aina ya HP inauzwa bei poa HDD 300, RAM 4, pia ina Web camera inatunza sana chaji. Location Dsm Bei 250000 haipungui. PM Kwa anayehitaji