Bei cheeee! Mninga 5*6 na Godoro inch 8. Tsh. 340,000/=

Joined
Jun 30, 2017
Posts
9
Reaction score
1
Habari za majukumu wadau wa JF.
Nauza kitanda cha mninga 5*6 na godoro lake nchi 8, vyote vimetumika miezi mitano tu.....

nipo Dar tmk mtongani

phone no: 0715253904 au 0744774462.

Karibuni sana wadau!.
IMG-20170630-WA0010.jpeg

IMG-20170630-WA0009.jpeg
IMG-20170630-WA0012.jpeg

IMG-20170630-WA0008.jpeg
 
khali imebana kiuchumi usipopunguza bei mteja kupatikana mgumu , laki 3 na arobaini mmmmhh mbona bado upo mbali,fanya 250K nizungumze na ndugu yangu anaweza kuwa na uhitaji maana analia sana kulala shida
 
Ila Mkuu hivi vitanda vya mbao bana siku hizi havinaga Mzuka sana,
Wajua watu wanapiga sana show siku hizi, sasa hivi vitanda ukivipigia show tu vinaanza kulegea na kutoa milio ya kero
 
Vipi vile vya chuma kwenye kupigia show?
Maana unaonekana mtalaaam
 
khali imebana kiuchumi usipopunguza bei mteja kupatikana mgumu , laki 3 na arobaini mmmmhh mbona bado upo mbali,fanya 250K nizungumze na ndugu yangu anaweza kuwa na uhitaji maana analia sana kulala shida
250k ni pesa nzuri mkuu lkn hainifai kabisa hyo!.
 
Vipi vile vya chuma kwenye kupigia show?
Maana unaonekana mtalaaam
Vile ndio vyenyewe siku hizi, ukikaza nati vizuri kisha chini kwenye miguu ukavivisha mpira, yaani kama sio demu kugugumia basi mnaweza kupiga show kimya kimya wala mtu nje asijue
 
Ulikua ushauri tu dada yangu, by the way hujaona utafiti kua ku-do kunaongeza siku za kuishi??
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] Mmmmhh acheni kuwaza anasa wazeni mema
 
khali imebana kiuchumi usipopunguza bei mteja kupatikana mgumu , laki 3 na arobaini mmmmhh mbona bado upo mbali,fanya 250K nizungumze na ndugu yangu anaweza kuwa na uhitaji maana analia sana kulala shida
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mnunulie ndugu yako
Apunguze kilio
 
2015 nlinunua complete
Kama kilivyo kitanda na
Godoro 300k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom