Wakuu poleni na pilika pilika za majukumu ya kujenga taifa.
Kijana wenu bado vyuma vimekaza, na januari ndio hiyo. Ada zinazidi kugomba. Nimeona nipunguze bei kidogo ili niweze kujikwamua. Bei...
Habari zenu wana JF
Karibu ujipatie asali ya nyuki wadogo na wakubwa,asali mbichi,kuanzia 1/4 kg-1kg kwa bei nafuu.....place your order now....call 0789384100
free delivery..
1 Litre ya nyuki...
Taraji Oil - Pure Organic Cold Press Coconut Oil. Useful for cooking and External Use.
Ni mafuta halisi ya Nazi Zilizokoma Yanafaa Kwa Kupikia na Kupakaa
Contact call/sms/whatsapp +255714206306
Wana forum nahitaji nyumba ya vyumba viwili na sitting room au chumba kimoja na sitting room, maeneo ya ubungo, kimara, sinza, mwenge, kawe, mikocheni, kijitonyama na tabata. Bajeti yangu si zaidi...
kama wewe ni mpenzi wa vinywaji na hufurahia michanganyiko ya vinywaji au ungependa kujaribu michanganyiko ya vinywaji maarufu kama cocktail(mchanganyiko wa vilevi) au mocktail(mchanganyiko usio...
Je umekuwa ukisumbuliwa na tatioz lolote la ngozi? Kama jibu ni ndiyo,
Bongo Tech tumekuwa tukitoa ushauri wa BURE juu ya masuala ya afya ya ngozi ikiwemo kujua aina za ngozi na jinsi ya kujipima...
Habari?,
Kwa Wanaotaka Kuanza Biashara Ya Fedha Za Simu Yaani M-pesa,tigopesa Na Airtel Money.
Ninauza TILL Za Mitandao Tajwa Hapo Juu Kwa Bei Zifuatazo:
Vodacom = 150,000
tigopesa = 120,000...
Habari zenu wadau wa JF sisi ni mafundi wa kutengeneza milango, madirisha nk ya aluminium kwa ustadi na bei nafuu tunaweza pia kusimamia kuondoa madirisha ya mbao na kuweka grill na kisha...
Hi wakuu,
Gari yenye taarifa zifuatazo unauzwa kwa Tsh 18.5mil
Toyota
Hilux
Double Cabin
yom 1996
cc 2779
Blue.
Iko kwenye hali nzuri sana.
kwa mawasiliano
Piga namba 0754 801 930.
Katika harakati za maisha unaweza kujikuta umepungukiwa na fedha huku shida muhimu ikiwa imekukaba...ukakosa rafiki, au ndugu wa karibu wa kukutatulia tatizo lako...
L-PESA...ni rafiki pekee...
Jamani wana jamvi naomba kama kuna mtu anajua mahali ambapo naweza kupata pikipiki kwa bei isiyozidi laki nane ( 800,000) hapo dar. Sanlag cc125 hadi cc150, Cargo type.Hapo Dar
taarifa zenu...
Mobbi shop ni ecommerce website iliyoundwa kwa ajili ya kuunganisha wafanyabiashara (hasa wale wanaposti bidhaa zao via FB/ IG) na wateja wengi zaidi.
Lengo ni kusaidia nyinyi wafanyabiashara...
Hii nyumba ipo Mwenge inapakana na hospitali ya Maria Stopes karibu na kituo cha Afrika sana ipo ndani ya geti
Nyumba ina madirisha ya vioo tiles japo bado baadhi ya sehemu mtu ametoka sio muda...
Nitaondokea Ubungo kama upo tayari twende, muda wa kuondoka Dar saa 11:30 Asubuhi.
Keshokutwa Jumatano, kama unaenda nicheki inbox au nitext kwenye 0799455132
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.