Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei tgo 230,000 Airtel 150,000 Maongezi yapo
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Nipo kinondoni,nguo mchanganyiko,bei maelewano!kwa jumla na rejarejaniwhatsapp 0789674747
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Model:Hp ProBook HDD: 500 RAM: 4GB VR: Core i5 Battery capacity: 6hrs Price: 390,000/= Private msg for more info
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Jambo Wadugu. Natafuta supplier wa Alovera at a large scale tafadhali. Kama kuna yeyote ni mkulima au anamfahamu mkulima tafadhali ani inbox. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
567 Views
1.Pro HTML5 with CSS, JavaScript, and Multimedia Complete Website Development and Best Practices Mark J. by Mark J. Collins 2. Beginning HTML & CSS by Rob Larsen usiniambie mambo ya pdf...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Ni mkusanyiko wa movies na series kali ikiwemo za Kikorea, za Kimarekani, Asia, Nigeria, Bongo nk Ni mkusanyiko wa zaidi ya movies 500+ Naitoa hii ofa kwa wateja wangu wote wapya. Utauziwa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ipo fremu ya biashara mita chache kutoka geti la kuingia hostel za mabibo, hii frem ilichukuliwa na mtu ambaye bahati mbaya anahamia dodoma. Vitu vilivyobaki ndani ni fridge jipya la mlango wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salamu sana wanajamii wote. Natafuta mnunuzi wa michaichai. Ni ile ya kiasili. Haijalimwa au kukuzwa na mbolea. Niko Kibaha Kwa Mfipa Bei, kila shina ni shilingi elfu mbili. Kama uko tayari...
3 Reactions
1 Replies
4K Views
Tafadhali naomba msaada wa kueleweshwa kidogo,siku za karibu ni kumetokea uuzaji wa nyumba maeneo ya mbagala chamanzi,nyumba nyingi zinauzwa huko.tafadhali naomba kujua kuna shida gani,naogopa...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Mbwa mdogo mbegu ya kizungu (chotara) kuanzia miez mitatu hadi mitano anahitajika maeneo ya Morogoro mjini. Kwa mawasiliano :0653178857 call,watsapp 0652028511
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Wakuu nahitaji moja wapo ya aina ya hizo gari ila ukaguzi nitaufanya mwenyewe na sihitaji dalali na bajeti yangu inaanzia 3.5Mill... only serious seller njooni .. Ukumbusho nahitaji mojawapo wa...
0 Reactions
3 Replies
694 Views
Bei ni 100,000/=. Karibuni.
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Karibuni.
1 Reactions
4 Replies
958 Views
Habari za majukumu wadau, Ninavyo vioo viwili vya Accer naviuza. Kimoja kina hitilafu ndogo (kina mstari ndani) lakini kinafanya kazi kama kawaida. Kisicho na hitilafu kabisa nakiuza 120,000 hiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahtaji mahema ya kununua wapi ntapata?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0626919121 0683928358...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mimi ni mjasliamali mdogo nahitaji kupata soko la hii bidhaa ya mbegu za mchicha lishe kwani hadi sasa nina hzo mbegu na bado sijapata soko la uhakika Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu Natafuta mbegu za aloevera kwa ajili ya kuotesha. Mwenye nayo naomba ajitokeze Napatikana Ubungo DSM
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa walio TANGA natengeneza burger na pizza mda wowote kwa oda utakayotoa..they are very tasty hutajutia ukinunua.. Bei: Beef burger 3000 Chicken burger 4000 Pizza nyama 7000 Pizza kuku 8000...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mr. Eggs Shop ni wauzaji wa mayai ya kuku wa kienyeji(kuroiler) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order. Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) kwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…