Nahitaji Gari ya Vits, Passo au Ist......

Nahitaji Gari ya Vits, Passo au Ist......

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,937
Wakuu nahitaji moja wapo ya aina ya hizo gari ila ukaguzi nitaufanya mwenyewe na sihitaji dalali na bajeti yangu inaanzia 3.5Mill... only serious seller njooni .. Ukumbusho nahitaji mojawapo wa gari hizo with very pleasant condition
 
We jamaa unaroho ngumu sana, wenzio wenye bajeti mbofumbofu hua details zingine wanasokomeza PM, we umeanika kila kitu hapa....ngoja wakuijie!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom