Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,699 Dec 19, 2017 #1 Salamu sana wanajamii wote. Natafuta mnunuzi wa michaichai. Ni ile ya kiasili. Haijalimwa au kukuzwa na mbolea. Niko Kibaha Kwa Mfipa Bei, kila shina ni shilingi elfu mbili. Kama uko tayari njoo inbox ili nikupe namba zangu. Karibu sana.
Salamu sana wanajamii wote. Natafuta mnunuzi wa michaichai. Ni ile ya kiasili. Haijalimwa au kukuzwa na mbolea. Niko Kibaha Kwa Mfipa Bei, kila shina ni shilingi elfu mbili. Kama uko tayari njoo inbox ili nikupe namba zangu. Karibu sana.
E EdwardC8 Senior Member Joined Nov 2, 2017 Posts 181 Reaction score 259 Dec 19, 2017 #2 Mimi hapa nahitaji hiyo supply niongezee kwenye banda langu la Kariakoo. Nakupm