Fremu ya biashara inapangishwa mabibo hostel

Fremu ya biashara inapangishwa mabibo hostel

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Ipo fremu ya biashara mita chache kutoka geti la kuingia hostel za mabibo, hii frem ilichukuliwa na mtu ambaye bahati mbaya anahamia dodoma. Vitu vilivyobaki ndani ni fridge jipya la mlango wa kioo, cartons za maji, juice na soda.
Kodi kwa mwezi ni 70,000/= na imelipwa trh 30 november. Ipo valid hadi 30 may 2018.

Kwa yeyote anayehitaji atapaswa kurudisha kodi, na vilivyomo ndani vitatolewa, au mtapatana vyote kwa pamoja.
Mawasiliano: 0713322856
 
Back
Top Bottom