Mkuu nahitaji ya kulala wafanyakazi wa site madogo yakulala watu wawili au watatuBoss ungefunguka zaidi maana Kuna aina nyingi za mahema kama vile ya camping brand nzuri Ni mountain hardware ,The north face ,Vango and so on ,kama ni ya sherehe Kuna watu wanatengeneza na Kuna yanayotoka China Ni makubwa sana hayo