Natafuta chumba Temeke karib na hospital

Natafuta chumba Temeke karib na hospital

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
280
Wadau kama mada inavosema soon mm nahamia Temeke, mwenye access na vyumba maeneo hayo anisaidie,
Sifa za chumba:
1.Kiwe self
2.gypsum na tiles
3.Ikiwezakana isiwe changanyiken sana
Ntashukuru sana
 
Huwezi kuepuka changanyikeni kama ni lazima chumba kiwe maeneo jirani na Hospitali.

Eneo lote kuzunguuka hospitali linakaliwa (linamilikiwa) na Waswahili.

Ukihitaji nje ya hapo kidogo nijulishe.
 
Huwezi kuepuka changanyikeni kama ni lazima chumba kiwe maeneo jirani na Hospitali.

Eneo lote kuzunguuka hospitali linakaliwa (linamilikiwa) na Waswahili.

Ukihitaji nje ya hapo kidogo nijulishe.
Poapoa isiwe mbali na hospital
 
Back
Top Bottom