Cryptopotato
Member
- Dec 19, 2017
- 53
- 71
Mkuu, Vipi kina hati miliki?
Je, kimepimwa?
Urefu uko vizuri Vipi kuhusu upana ni kutoka fance hadi fance ya nyumba ya pili au?
Mkuu, naomba unijibu tafadhali.
milion 68 na hapo ni una dharura ya madeni.. je ungekuwa hauna dharura ungeuza bei gani?
Tunafanya harakati chiefDawa ya deni ni kulipa tu
Ni inbox number yakoMkuu, Vipi kina hati miliki?
Je, kimepimwa?
Urefu uko vizuri Vipi kuhusu upana ni kutoka fance hadi fance ya nyumba ya pili au?
Mkuu, naomba unijibu tafadhali.
lina hati mkuu
Tafuta grisi mkuu