Natafuta simu aina ya Nokia 'tochi'

Natafuta simu aina ya Nokia 'tochi'

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,662
edc3b3eab4ccd7e620184d5be087a2f8.jpg

Habari zenu wanaJF?
Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anauza simu used aina ya Nokia ya tochi a.k.a Obama anichek pm
c42454028deb113faf402ecb768be8c0.jpg

Napoishi:Buza Kanisani

Bei ya simu iwe kuanzia 10,000/= hadi 12,000/=

66dd18aa1d6777a46b803baad44c8b63.jpg


Asanteni
 
Sio bure hapa, mambo yetu yaleeeeeee makaburiniiii
 
Back
Top Bottom