Natafuta wateja wa uyoga dsm

Natafuta wateja wa uyoga dsm

Joined
Jun 20, 2016
Posts
97
Reaction score
106
Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa.
 
Niagizie wa kuhonja tu kilo 5 nipo Kigoma huku.. 😀😀
 
Kapicha plz ...nimekulaga uyoga zamani mnoo
 
Kwa dunia ya sasa Huo uyoga inabidi useme "unaongeza nguvu za kiume na makalio kwa kina Dada" I guarantee, you'll thank me later...!!!
 
Kwa dunia ya sasa Huo uyoga inabidi useme "unaongeza nguvu za kiume na makalio kwa kina Dada" I guarantee, you'll thank me later...!!!
hahahaha we lijamaa kiboko....
 
Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa.
Ungesubiri upige picha na maelezo ya kina. Halafu jifunze ku-advertise ni sehemu muhimu ya biashara, toa aina za uyoga ulizonazo na picha, faida zake, unauza sh ngapi/package, unapatikana wapi etc
 
Back
Top Bottom