Habari wanajamii nahitaji gari ndogo yenye engine chini au sawa na cc1500, vvti , Toyota zaidi, namba sio ishu ila iwe katika hali nzuri, passo hapana, premio, fielder, ist , raum, spacio sawa...
Salaam wanajukwaa..!niende moja kwa moja kwenye mada, nina IPHONE 5c 32GB haina tatizo lolote...
Nahitaji IPhone 6 and above NITAONGEZEA pesa kulingana na simu yako...
Jamni nataka kuuza kiwanja kisa madeni,nifanyaje?
ENEO ; kinyerez kituo kinaitwa garage karibu na flamingo bar. Karibu na barabara.
UKUBWA ; 1145sqm.
BEI ; 68mill maelewano yapo
DALALI ; mgao 5%...
SHIMO KWENYE JINO (CAVITY)
JE, Umeshawahi kusikia kuhusu mtu kwenda kujazwa risasi katika jino?
Unafikiri kwanini jino lijazwe risasi? Nini kimetokea?
.
Ngoja nikwambie kitu..
SHIMO katika jino...
Salamu wakuu,
Mimi ni mkulima wa mahindi, nina tani 34 za mahindi na napatikana dar es salaam.
Kilo nauza kwa sh.650.
Napatikana dar es salaam. Ukihitaji ni pm tumalize biashara.
Karibuni wakuu
I...
Habari zenu wanaJF?
Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anauza simu used aina ya Nokia ya tochi a.k.a Obama anichek pm
Napoishi:Buza Kanisani
Bei ya simu iwe kuanzia 10,000/= hadi 12,000/=
Asanteni
Jamani wana JF nani anafahamu vizuri soko la muhogo yani nauzia wapi nasikia kuna sehemu wanauza kwa wingi zaidi wa kusafilisha nje ya nchi
msaada pliz
Habari zenu wakuu.
Poleni kwa maandalizi ya sikuu ya christmass na mwaka mpya.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi nipo mbeya sasa nimevutiwa na biashara hii ya nguo za watoto pamoja na...
Habari ndugu zangu wa JF poleni kwa majukum ya kazi ...mimi ni binti ninaitwa NEEMA ambaye baada ya kuhangaika kupata ajira vikwazo vikawa vingi nimeamua nifungue kampuni yangu ya USAFI kwa...