Mdharuba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 824
- 518
SHIMO KWENYE JINO (CAVITY)
JE, Umeshawahi kusikia kuhusu mtu kwenda kujazwa risasi katika jino?
Unafikiri kwanini jino lijazwe risasi? Nini kimetokea?
.
Ngoja nikwambie kitu..
SHIMO katika jino ni matokeo ya kuharibika kwa jino.
Kuharibika kwa jino kunaweza kuathiri sehemu zote, sehemu ya nje ya jino (iitwayo enamel) na sehemu ya ndani ya jino (iitwayo dentin).
NINI kinasababisha kuharibika kwa jino?
Vyakula vyenye wanga (Carbohydrates) mfano mkate, nafaka, maziwa, soda, matunda, keki au pipi hukaa katika meno yako.
Bakteria waliopo katika mdomo wako hubadilisha vyakula hivyo na kuwa Asidi. Sasa basi bakteria, asidi, mabaki ya chakula na mate yako vinachanganyika kwa pamoja kuunda plaque ambayo huganda katika meno. Asidi katika plaque inaharibu enamel kutengeneza matundu/mashimo (cavities).
Nani anapata mashimo haya?
Hii huwapata watu wote (watoto na watu wazima).
Kwanini uruhusu meno yako yafikie hatua hadi ya kutengeneza mashimo wakati ipo dawa ya meno ambayo kazi yake kubwa zaidi ni kuzuia kabisa uwezekano wa kutengenezwa hao bakteria??!!
Tumia dawa ya meno kutoka Oriflame sasa kuzuia hali hii.
Dawa hii...
1. Inazuia kabisa kutengenezwa kwa matundu.
2. Inazuia kuundwa kwa plaque
3. Inazuia kuharibiwa kwa meno.
4. Inakupa harufu nzuri ya mdomo
5. Inaimarisha afya ya fizi.
N.B
Kama meno yako yanauma unapokunywa chai au kitu cha baridi, jua kuwa wewe tayari una mashimo katika meno yako.
Wahi haraka kuzuia hiyo hali isiendelee.
Piga/sms/Whatsapp-0718274130 kuweka oda yako mapema