Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Husika na kichwa cha habari Specification zipo kwenye picha interested? ni pm nikupe mawasiiano<br /><br />
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Simu za mezani zinazotumia double laini . betri ya kuchaji . inatuma sms . fm radio, GPRS nk. . Bei sh.135,000/= full box [emoji403] + FREE DELIVERY NB: Ukiitaji kwa bei ya jumla zipo. ...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakati naendelea na mazungumzo ya kibiashara kwenye gari la awali >> Car4Sale - Nauza gari, Milioni 60 tu.. Vyuma vimekaza! Napenda kuwaletea gari lingine wanunuzi wanaohitajia kuanza yema mwaka...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani wana jf, nahitaji tecno cx used mwenye nayo aje kwa 0620436634
0 Reactions
2 Replies
591 Views
S6 edge+ iko kwenye hali nzuri kabisa On sale 550000/= CONTACT :0759283908 (
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Habari wana JF nauza laini tajwa hapo juu kwa bei ya sh.300,000 kwa zote mbili ukitaka moja bei ni 150,000 karibuni napatika iringa.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema mwenye usafiri binafsi siku hiyo ili tuchangiane pesa ya mafuta lakini lisiwe lorry nichek 0787384659.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nini: Eneo la mchanga lenye ukubwa wa hekari 31(thelathini na moja) linauzwa Wapi: Wilaya ya Mkuranga, Kijiji ni Mwanambaya,Ukitokea Kongowe (Kupitia Kilwa Road),ni Kilometa sita toka kinapoanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nini: Eneo la shamba lenye ukubwa wa heka moja linauzwa kwa laki tano. Wapi: Morogoro, kilomita 20 toka msamvu kuelekea Dodoma, kilomita nane toka barabara kuu iendayo Dodoma...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Samsung Galaxy tab A 8.0 model Sm-t355 4g+Wi-Fi 16gb ina Android 7.1 Nougat bei 330000 inapungua kidogo. Tablet bado ipo fresh. Tablet ipo Moshi,KILIMANJARO.
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naulizia mwenye wale samaki wa urembo wa kufuga. Mimi nipo maeneo ya dodoma. Kama unao nicheki pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei tgo 230,000 Airtel 150,000 Maongezi yapo
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Nipo kinondoni,nguo mchanganyiko,bei maelewano!kwa jumla na rejarejaniwhatsapp 0789674747
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Model:Hp ProBook HDD: 500 RAM: 4GB VR: Core i5 Battery capacity: 6hrs Price: 390,000/= Private msg for more info
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Jambo Wadugu. Natafuta supplier wa Alovera at a large scale tafadhali. Kama kuna yeyote ni mkulima au anamfahamu mkulima tafadhali ani inbox. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
566 Views
1.Pro HTML5 with CSS, JavaScript, and Multimedia Complete Website Development and Best Practices Mark J. by Mark J. Collins 2. Beginning HTML & CSS by Rob Larsen usiniambie mambo ya pdf...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Ni mkusanyiko wa movies na series kali ikiwemo za Kikorea, za Kimarekani, Asia, Nigeria, Bongo nk Ni mkusanyiko wa zaidi ya movies 500+ Naitoa hii ofa kwa wateja wangu wote wapya. Utauziwa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ipo fremu ya biashara mita chache kutoka geti la kuingia hostel za mabibo, hii frem ilichukuliwa na mtu ambaye bahati mbaya anahamia dodoma. Vitu vilivyobaki ndani ni fridge jipya la mlango wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salamu sana wanajamii wote. Natafuta mnunuzi wa michaichai. Ni ile ya kiasili. Haijalimwa au kukuzwa na mbolea. Niko Kibaha Kwa Mfipa Bei, kila shina ni shilingi elfu mbili. Kama uko tayari...
3 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom