Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta mlango wa nyuma kwenye buti Kama unao nipigie au tuma sms 0755229343
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unayo laptop hiyo tufanye biashara chap 0715812160 call/sms/whatsapp
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wanajamvi... Natafuta mtu mwenye mashine ya kutotolesha mayai ya bata.. Nipo Dar-es-salaam Namba ya simu 0712138156 Anicheki humu au ani-pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kama title inavosema, soon kuanzia mwez wa kwanza nahamia Temeke.Natafuta chumba Sifa za chumba: kiwe self, tiles, gypsum,
0 Reactions
13 Replies
918 Views
Bei maelewano njoo 0620436634
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF? Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anauza simu used aina ya Nokia ya tochi a.k.a Obama anichek pm Napoishi:Buza Kanisani Bei ya simu iwe kuanzia 10,000/= hadi 12,000/= Asanteni
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mwenye kuuza line za tigo pesa aniPM tafadhari nahitaji
0 Reactions
5 Replies
860 Views
Jamani wana JF nani anafahamu vizuri soko la muhogo yani nauzia wapi nasikia kuna sehemu wanauza kwa wingi zaidi wa kusafilisha nje ya nchi msaada pliz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Poleni kwa maandalizi ya sikuu ya christmass na mwaka mpya. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi nipo mbeya sasa nimevutiwa na biashara hii ya nguo za watoto pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa JF poleni kwa majukum ya kazi ...mimi ni binti ninaitwa NEEMA ambaye baada ya kuhangaika kupata ajira vikwazo vikawa vingi nimeamua nifungue kampuni yangu ya USAFI kwa...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Natafuta kibanda/frame ndogo maeneo ya kariakoo kwa biashara ya Tigo Pesa. PM kama wewe ni dalali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika msimu huu wa Holidays tunakuletea FURSA ya Kipekee. Unakosaje Fursa kama Hii! . . Jee wewe ni MjasiriaMali mwenye mtaji mdogo? . . Ni fursa ya kipekee ya kujipatia kipato kwa haraka na...
0 Reactions
37 Replies
28K Views
Natafuta kuku aina ya white Sussex , mwenye nayo naomba acomment
0 Reactions
4 Replies
900 Views
Naomba kufahamu kuhusu kununua bidhaa mtandaoni na kwenda kununua vitu kariakoo ipi ina unafua wa bei na faida inayoridhisha? Hapa namaanisha kununua mzigo mkubwa. Asanteni kwa muda wenu
0 Reactions
2 Replies
857 Views
habari wadau nmepata shida na maatzo kidogo hivyo imenipasa niuze computer yangu music system yake bei ni rahisi sana 200000 ina ram 4g hdd 110gb pentium 4 naambatanisha na picha ya mali hizi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kina urefu wa MITA55 NA UPANA WA MITA 28.80 kipo Musoma eneo la makutano kwa alietayari anicheki kupitia 0764339400 bei 10m kwa maongezi zaidi unakaribishwa
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu salaam zenu. Naomba kama kuna MTU anafahamu watu hawa na ofisi zao ziko wapi mikoani na dar pia
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza. naombeni kama kuna mafundi wanajulikana wa kuchimba shimo la choo. 1.) site ipo kigamboni 2) kazi inahitajika kufanyika mwezi wa kwanza 3)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni power supply ya Hp desktop flat, mwenye nayo anicheck tufanye biashara, yangu imekufa.
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Back
Top Bottom