Heshima mbele wadau
nina ka project kangu ka ujenzi wa ghorofa moja simple. sasa imefikia wakati wa kumwaga jamvi kwenye msingi kabla ya kuanza kupandisha tofali. Napenda kujua nawezaje kupata mawe kwa bei ya chini. Ninazo namba za madereva malori ila kila mmoja ananitajia bei za juu sana. site ipo Goba njia nne. natangulisha shukrani.