NEW FORCE ENTERPRISES

NEW FORCE ENTERPRISES

mti mnene

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
515
Reaction score
1,278
Basi la new force kutoka kyela kwenda dar basi la nne Leo mmetukwaza abiria wenu. Basi la ruti za dar Moro Leo mnalifanya litoke kyela kwenda dar. Yani likijitahid speed kubwa 60. Badilikeni mmejitia doa leo
 
Torch tatizo mkuu..ukidakwa tu.....heheehee
 
Ila abiria jamani
Si juzi tu mlikuwa mnalisifu jeshi la polis kwa kuweka spd 50km/hr?
 
Alafu hii kampuni ya new force iko hoi Siku hizi kabisa sijui kwann?route zingine zimeshakufa kabisa
 
Hawa new force si ndio wachina wenyewe, inakuaje wanakua na magari mabovu, au kuna ulaji ndani ya kampuni?
 
Alafu hii kampuni ya new force iko hoi Siku hizi kabisa sijui kwann?route zingine zimeshakufa kabisa
Route zipi labda wana
Dar ️Tunduma
Dar ️Mbeya
Dar ️Kyela
Dar ️Songea
Mbeya ️Arusha
Dar ️Moro
Dar ️Kahama
Dar ️ mwanza
Wanajitahidi sana wanaleta changamoto kwa wazawa waliokuwa wanatupandisha masufuria
Nb:mimi sio shabiki wao ni mdau wa mabus

Sent from my Redmi 4X using JamiiForums mobile app
 
Dar Khm new force tena ni katika route zao za mwanzo kbs
 
Back
Top Bottom