duh hats me natafuta uko mseweNahitaji chumba cha kupanga Ubungo Msewe, kikiwa master itakuwa vizuri/ kikiwa chumba na sebule na pia nyumba iwe na usalama .
Anayejua naomba tujulishane
Hahahaaa! Duh!Msewe pa kissenge sana.
Maji tabu mno. Halafu mabonde kibao.
Hakuna barabara straight kuingia msewe
duh hats me natafuta uko msewe
Kuna maji nje??kipo karibu na mabibo hostel...
Kuna vyumba viwili hapa vizuri tu.Nahitaji chumba cha kupanga Ubungo Msewe, kikiwa master itakuwa vizuri/ kikiwa chumba na sebule na pia nyumba iwe na usalama .
Anayejua naomba tujulishane
Kuna maji nje??
Hahhahah....msewe Connection Pub. Ila msewe aisee haifai kwa tabu ya majiMsewe pa kissenge sana.
Maji tabu mno. Halafu mabonde kibao.
Hakuna barabara straight kuingia msewe
Hupajui Msewe wewe, itakuwaMsewe pa kissenge sana.
Maji tabu mno. Halafu mabonde kibao.
Hakuna barabara straight kuingia msewe
Mara ya mwisho kwenda ln siku hiz kupo xafi kabixa maji full timeMsewe pa kissenge sana.
Maji tabu mno. Halafu mabonde kibao.
Hakuna barabara straight kuingia msewe
Sh ngapi dada kwa mwezi unaweza tupia kapichaKuna vyumba viwili hapa vizuri tu.
love thé love or hâte thé love.....
Msewe ipii mnayoiongelea wakuu. ...Me naishii hapa hiyo shidaa ya maji ndo kwanza naisikia hapa JF. .Ila kuna mtu kasema maji msewe ni shida mana yeye anaenda na madumu kazini ili kuchota maji duuh
Msewe ipi ina shida ya maji?Ila kuna mtu kasema maji msewe ni shida mana yeye anaenda na madumu kazini ili kuchota maji duuh
Labda nijaribu kupita hapo kesho,ila bei yake kali ni 250,000 ina jiko na choo ndani +sebuleSh ngapi dada kwa mwezi unaweza tupia kapicha
Haya itakuwa poaLabda nijaribu kupita hapo kesho,ila bei yake kali ni 250,000 ina jiko na choo ndani +sebule
love thé love or hâte thé love.....
Hebu nicheki pm tubonge freshndio yapo ya dawasco.. na kisima cha maji chumvi kipo incase dawasco yakikatika.. bei 60 choo cha nje sio master
weka bei mkuuKuna vyumba viwili hapa vizuri tu.
love thé love or hâte thé love.....
Hornet please msaada natafuta chumba ndugu nimeona sehemu unasema kuna vyumba somewhere please msaada!Kuna vyumba viwili hapa vizuri tu.
love thé love or hâte thé love.....