Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Ninazo tofali za kuchoma zipo 4000 nipo Korogwe Tanga tofali moja nauza 100
No za simu 0652971495
No za simu 0652971495
sawa kiongoziSubiri wanakijiji wenzako watakuja
inategemea mkuu na ukubwa wa tofaliHivi nyumba nzima ya vyumba vitatu inachukua tofali ngapi za choma?
Na kuzipiga hadi kuchoma haijafika 200000Hapo ukiuza zote tayar una Laki 4.
Mkuu mwaga NondoNa kuzipiga hadi kuchoma haijafika 200000
Zina saizi gani mkuuNinazo tofali za kuchoma zipo 4000 nipo Korogwe Tanga tofali moja nauza 100
No za simu 0652971495
View attachment 661634View attachment 661635
ndioZishachomwa tayari hapo?
tangaKorogwe ya kimara au tanga
inch 2 na nusuZina saizi gani mkuu