Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
hahaha, sitaki kesi mmnahitaji kuchora tatoo ya picha ya Kakobe mtanifanyia bei gani??
Yeah, its amazing, tucheki ukihitaji kuchora mtoto wakoNmeipenda hiyo ya katoto
Naogopa kuumiaYeah, its amazing, tucheki ukihitaji kuchora mtoto wako
faru john au??😀😀 *kidding*Nataka kuchora tatoo ya Faru.
Naogopa kuumia
Hiyo ni bureee kabisa, waone watakuchoranahitaji kuchora tatoo ya picha ya Kakobe mtanifanyia bei gani??
hyo hata milioni sichori, jela sio kuzuriHiyo ni bureee kabisa, waone watakuchora
faru john au??😀😀 *kidding*
kama uko serious tuchek whatsapp 0657 714 397 .. utanipa mchoro unaoutaka kisha nitakupa bei ya kuchora
naogopa hata sindanoKwan hujawah choma sindano ww?? maumivu sio makali sana na yanawah kupoa
sijakusoma asee, kama ni unataka ku edit tattoo tu inawezekana mzee mfano ni hii hapa nimefanyaMimi ninataka ku-edit tatoo ya vyuma vimeba.. nasikia hataki tena kuisikia niweke kuwa vimeachia.
faru john au??😀😀 *kidding*
kama uko serious tuchek whatsapp 0657 714 397 .. utanipa mchoro unaoutaka kisha nitakupa bei ya kuchora
Lakini utakuwa maarufu, zaidi hata ya Dr shikahyo hata milioni sichori, jela sio kuzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini utakuwa maarufu, zaidi hata ya Dr shika
umaarufu ukiwa segerea unafaida gan chief?Lakini utakuwa maarufu, zaidi hata ya Dr shika