Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

tutafutane mwenye Samsung galaxy Note yoyote chini ya 300 vyuma vina grease... +255623678056
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Ndugu zangu naomba kupata taarifa za tunda la nanasi ktk kijiji cha msata kwa bei ya jumla linatokaje uko
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bei 300k Ram 2GB Storage 300GB Baterry life: 3 hours Call 0629992942
0 Reactions
1 Replies
601 Views
Wadau kama mada inavosema soon mm nahamia Temeke, mwenye access na vyumba maeneo hayo anisaidie, Sifa za chumba: 1.Kiwe self 2.gypsum na tiles 3.Ikiwezakana isiwe changanyiken sana...
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Deleted
0 Reactions
3 Replies
778 Views
Habari zenu wanaJF? Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anauza simu used aina ya Nokia ya tochi a.k.a Obama anichek pm Napoishi:Buza Kanisani Bei ya simu iwe kuanzia 10,000/= hadi 12,000/= Asanteni
0 Reactions
7 Replies
7K Views
kipo maeneo ya mbezi beach karibu na kilimani primary barabara ya Goba changamkia
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa mbezi msakuzi 30000 kwa sqm moja malipo kwa miezi 10.kwa maelezo zaidi njoo pm.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu najishugurisha na kilimo cha uyoga hivyo ninao wakutosha natafuta soko mwenye uhitaji anipm ninao wakutosha soon naweka picha hapa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama unahitaji bank account uingereza (UK)... Itakayokuwezesha kutuma na kupokea hela kutoka nje nicheki Call/whatsapp 0624132227 Bei: Tsh. 50,000 Utapata MasterCard ya Atm. Having Problems to...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Wadau kwa anayejua wapi naweza kuuza kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla hapa Dar ,nijuzen wadau
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Nanunua noah old model kwa mil 6 Sharti niletewe Nairobi kenya
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Habari wanajamii nahitaji gari ndogo yenye engine chini au sawa na cc1500, vvti , Toyota zaidi, namba sio ishu ila iwe katika hali nzuri, passo hapana, premio, fielder, ist , raum, spacio sawa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam wanajukwaa..!niende moja kwa moja kwenye mada, nina IPHONE 5c 32GB haina tatizo lolote... Nahitaji IPhone 6 and above NITAONGEZEA pesa kulingana na simu yako...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Mambo vp wadau wa hili jukwaa pendwa.. Kwa wale wote mlioko Masasi town, naomba kufahamishwa bei ya Tecno W4 new in shop. Thanks
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamni nataka kuuza kiwanja kisa madeni,nifanyaje? ENEO ; kinyerez kituo kinaitwa garage karibu na flamingo bar. Karibu na barabara. UKUBWA ; 1145sqm. BEI ; 68mill maelewano yapo DALALI ; mgao 5%...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni King'amuzi cha Azam tv kikiwa kimekamilika kila kitu. bei ni kama nilivytaja hapo juu, haipungui hata senti, nipo Goba.
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, Nauza hiyo simu ni yangu na nipo Mwanza kona ya Bwiru. Bei 350000/. Haina tatizo lolote . Nicheki 0767253265
0 Reactions
4 Replies
4K Views
SHIMO KWENYE JINO (CAVITY) JE, Umeshawahi kusikia kuhusu mtu kwenda kujazwa risasi katika jino? Unafikiri kwanini jino lijazwe risasi? Nini kimetokea? . Ngoja nikwambie kitu.. SHIMO katika jino...
1 Reactions
3 Replies
11K Views
Salamu wakuu, Mimi ni mkulima wa mahindi, nina tani 34 za mahindi na napatikana dar es salaam. Kilo nauza kwa sh.650. Napatikana dar es salaam. Ukihitaji ni pm tumalize biashara. Karibuni wakuu I...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Back
Top Bottom