Wale wataalam wa ujenzi na mafundi wa furniture naweka mbele yenu machine zifuatazo Machine zinauzwa kwa bei poa:
JIG SAW MACHINE IMETUMIKA KIDOGO SANA INAUZWA LAKI. MACHINE IPO DAR
Machine ya kupakia rangi inakuja bila mtungi wa rangi ( ulipotea airport ) mtungi unapatikana dukani kwa bei isiyopungua sh elfu sitini; bei ya machine ni sh 180000
Machine ya kupigia randa ni mpya kabisa haijawahi kutumika inakuja bila box lake lakini nitakupa gurantee ya miezi sita bei yake ni 180000
circular saw nayo ni mpya kabisa bei yake ni sh 200000
Heavy duty drill machine yenye nyundo kabisa machine ni ya umeme inakuna na pack yake bei ni sh 400000 dukani inauzwa kuanzia laki sita
Machine ya kupakia rangi inakuja bila mtungi wa rangi ( ulipotea airport ) mtungi unapatikana dukani kwa bei isiyopungua sh elfu sitini; bei ya machine ni sh 180000
Machine ya kupigia randa ni mpya kabisa haijawahi kutumika inakuja bila box lake lakini nitakupa gurantee ya miezi sita bei yake ni 180000
Heavy duty drill machine yenye nyundo kabisa machine ni ya umeme inakuna na pack yake bei ni sh 400000 dukani inauzwa kuanzia laki sita
Attachments
-
IMG_20171207_145129 - Copy.jpg137.3 KB · Views: 50 -
IMG_20171207_145510.jpg151 KB · Views: 43 -
IMG_20171209_110516.jpg154.9 KB · Views: 37 -
IMG_20171209_110518.jpg151.3 KB · Views: 39 -
IMG_20171209_110520.jpg153.6 KB · Views: 45 -
IMG_20171209_110543.jpg153.6 KB · Views: 48 -
IMG_20171209_110545.jpg156.4 KB · Views: 45 -
IMG_20171209_110705.jpg218.9 KB · Views: 42 -
IMG_20171209_110713.jpg205.5 KB · Views: 43 -
item_XL_23477544_33517423 (1).jpg15.7 KB · Views: 39 -
item_XL_23477544_33517423.jpg15.7 KB · Views: 36 -
1422495034.png44.2 KB · Views: 47