deletedUser
New Member
- Jan 9, 2013
- 3
- 3
Hata wa kanda ya Ziwa hawapati ng'o....... Mia stini hahahaha...............Sikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa
tukome!! Kwa bei hiyo HatununuiSikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa
qumanhoko aseee!!Sikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa
Oya avatar yangu vipi unaitumia wwqumanhoko aseee!!
Hahahaha nnatusemaga sana watu wa dar leo nimewapata,ila akileta huko nna uhakika mteja atapatatukome!! Kwa bei hiyo Hatununui
Thubutu yake atazurura nayo hiyo tumejanjarukaHahahaha nnatusemaga sana watu wa dar leo nimewapata,ila akileta huko nna uhakika mteja atapata
huwa inatokea tu avatar zinakuwa hivyo, Ila kwa mda mfupi tu, sio Mimi nilieiweka kuitumia na sina mpango nayo, be patient!!Oya avatar yangu vipi unaitumia ww
shwainSikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa
Ww sub ufer unauza kilo na sitini used kwl ...wakati mpya dukan mpaka elf khamsin unapata ....ur. not serious kwa kwl
Hio mbao au subufer ya elfu 50 ...acheni ujinga kama hamna hela ni nyieWw sub ufer unauza kilo na sitini used kwl ...wakati mpya dukan mpaka elf khamsin unapata ....ur. not serious kwa kwl
Ww msukuma wa wapi ww njoo..k.koo nikuuzie acha ubishi....maisha yenyewe magumu,jua kali na makelele ya subufer yanaongeza joto ndani.......Hio mbao au subufer ya elfu 50 ...acheni ujinga kama hamna hela ni nyie
Hahahaha wewe maliza kwa kusema wasukumaSikukatishi tamaa ila kwa hiyo bei labda watu wa kanda ya ziwa