Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza mbwa wa wadogo wa ndani pets dog wamezaliwa watano wadume wanne na majike wawili toa order mapemmama yao huyu baba yao watoto bei ni laki tatu na nusu .mawasiliano 0719708708
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Samahani mwenye kuku wa kienyeji anaewauza ambaye anaishi mkoa wa Mbeya
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninauza dawa ya kusafisha na kung'arisha tiles/ vigae pamoja na masinki vyoo na masinki ya kunawia mikono. Lita 1 ninauza Tsh 5000. Dar nakuletea popote ulipo lakini mikoani utatumiwa. Kwa...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Tunauza simu mpya na free delivery kwenda sehemu yeyote Tanzania. Offer kwa ajili ya sikuku, Samsung S6 plain 32gb Gold. Duka limebobea ktk samsung na iPhone simu na accessories tu.
0 Reactions
7 Replies
896 Views
Wamenipigia CM wanajifanya kunijulisha nimeshinda, na blah blah kibao. Nika waambia acheni upuuzi sio kila mnaye mpigia mta mtapeli. Kuweni makini jomoni [emoji23]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye hiyo simu nampa Samsung galaxy fame lite na 40,000 cash anipe hiyo simu nipo mbezi luis dsm 0787 429 104
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Weka maelezo yafutayo: 1.Mahali nyumba ilipo kwa maana ya mtaa wilaya 2. Ukubwa wa nyumba na eneo la kiwanja. 3. Huduma muhimu zilizopo i.e maji na umeme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Friends Nahitaji simu ya infinix zero 4 plus. Napatikana Dodoma. Muuzaji awe popote(mkoa sio kigezo) 0767833496 0658605358
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba mwenye kujua perfume nzuri ya kiume ya budget ya Tsh. 30000.. naomba kujua jina
1 Reactions
60 Replies
20K Views
BITCLUB ADVANTAGE (faida) jiunge na group la whatsapp ujifunze kuhusu bitclub advantage wekeza kwa faida
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Huduma zetu: Website design,website maintanance, website development, website redesign, logo design, promotional materials design and printing, bussiness card, banners design and printing...
1 Reactions
0 Replies
531 Views
Yeyote mwenye iphone six plus au 7 ambayo haijatumika zaidi ya miezi 6 tuwasiliane. Natoa dau zuri.Bei isizidi 500k kwa iphone 6 na 700k kwa 7
0 Reactions
3 Replies
910 Views
vyuma vya mazoezi: kuna dumbeli zake za kg 20- 2 na kilo 10-2. na benchi lake benchi lake - 120,000/= vyuma vyote- 80,000/= benchi maalum la mazoezi ya mgongo 120,000/= mwisho 100,000/= simu...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Ndg zangu natafuta Kazi yeyote nimesomea ualimu (Physics and Mathematics) ila natafta kazi yyte hata kama sio ya ualimu. NATANGULIZA SHUKRANI. 0624416484
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Mini ni mjasiliamali nipo Morogoro mjini, ninajishughulisha na biashara ya electronics kama vile computer, laptop, tv, radio, friji nk, nina frem ambayo naimiliki kihalali kabisa kwenye jengo la...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wadau, Mwaka naona hauniishii vizuri. Nauza pikipiki yangu SANLG SL125-5, Brand new (bado ipo kwenye nylon zake), haijawahi kuendeshwa (0km), imelipiwa bima kubwa (comprehensive). Ipo...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
B
0 Reactions
3 Replies
511 Views
Wakuu habari zenu napenda kuwasilisha mada yangu hapo juu naomba mwenyeji wa morogoro hususani kwenye ardhi yenye rutuba anitaftie shamba la kulima mwenye eneo au anaepafahamu vizuri morogoro...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pata tovuti kwa bei nafuu + Free hosting +free domain kwa mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi ingia katika tovuti yetu www.fauluhost.co.tz au piga namba 0758489386.
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Hi wana Jf natumaini mmeamka salama na kufurahia mwaka mpya na malengo mapya 2018. Kiufupi Mimi ni mwandishi chipukizi wa vitabu nilianza kuipenda fani hii tangu nikiwa mdogo. Mwaka 2004 mpaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom