Nauza mbwa wa ndani pets dog

Nauza mbwa wa ndani pets dog

flafy

Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
41
Reaction score
11
Nauza mbwa wa wadogo wa ndani pets dog wamezaliwa watano wadume wanne na majike wawili toa order mapem
f5cc46fadc32a808b7c97bd8d2a6e7c0.jpg
e0d07a764b805f0ce91c660fb8a76e67.jpg
581b5b8dc7c06b04659cc2a562b163bb.jpg
404ffca83768cd3ed5580e51d4c23659.jpg
mama yao huyu
d01700d103f09fa1bdea1548242a34b3.jpg
baba yao watoto bei ni laki tatu na nusu .mawasiliano 0719708708
 
hako kakwanza na hako katatu....vitamtafuna mwanangu hivooo
 
Toa order mapema maana wana mwezi sasa
 
Mkoani unasafirisha? Nanunua nawauzia masista duu. Huwa wanawatumia kwa matumizi ya nyumbani.
 
Nauza mbwa wa wadogo wa ndani pets dog wamezaliwa watano wadume wanne na majike wawili toa order mapem
f5cc46fadc32a808b7c97bd8d2a6e7c0.jpg
e0d07a764b805f0ce91c660fb8a76e67.jpg
581b5b8dc7c06b04659cc2a562b163bb.jpg
404ffca83768cd3ed5580e51d4c23659.jpg
mama yao huyu
d01700d103f09fa1bdea1548242a34b3.jpg
baba yao watoto bei ni laki tatu na nusu .mawasiliano 0719708708

Mkuu, hiyo cross - breeding ulofanya inasumbua kutathmini uwezo wa hizo mbwa kujifunza kazi mbalimbali.

Naona umechanganya huyo mama yao Yorkshire Terrier na baba bull dog au terrier type ambao kwa asili ni wakorofi.

Pia ungeweka picha ya baba yao hao watoto.

Naomba ufafanuzi wa kwenye hiyo cross - breeding kama hutajali.
 
Ni wakorofi sana usiwaone ni wafup wanakufanyia fujo sana
 
Back
Top Bottom