Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

vyuma vya mazoezi: kuna dumbeli zake za kg 20- 2 na kilo 10-2. na benchi lake benchi lake - 120,000/= vyuma vyote- 80,000/= benchi maalum la mazoezi ya mgongo 120,000/= mwisho 100,000/= simu...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Ndg zangu natafuta Kazi yeyote nimesomea ualimu (Physics and Mathematics) ila natafta kazi yyte hata kama sio ya ualimu. NATANGULIZA SHUKRANI. 0624416484
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Mini ni mjasiliamali nipo Morogoro mjini, ninajishughulisha na biashara ya electronics kama vile computer, laptop, tv, radio, friji nk, nina frem ambayo naimiliki kihalali kabisa kwenye jengo la...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wadau, Mwaka naona hauniishii vizuri. Nauza pikipiki yangu SANLG SL125-5, Brand new (bado ipo kwenye nylon zake), haijawahi kuendeshwa (0km), imelipiwa bima kubwa (comprehensive). Ipo...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
B
0 Reactions
3 Replies
511 Views
Wakuu habari zenu napenda kuwasilisha mada yangu hapo juu naomba mwenyeji wa morogoro hususani kwenye ardhi yenye rutuba anitaftie shamba la kulima mwenye eneo au anaepafahamu vizuri morogoro...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pata tovuti kwa bei nafuu + Free hosting +free domain kwa mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi ingia katika tovuti yetu www.fauluhost.co.tz au piga namba 0758489386.
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Hi wana Jf natumaini mmeamka salama na kufurahia mwaka mpya na malengo mapya 2018. Kiufupi Mimi ni mwandishi chipukizi wa vitabu nilianza kuipenda fani hii tangu nikiwa mdogo. Mwaka 2004 mpaka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu natafuta mpiga picha quarity zenye mvuto za kisasa napatikana MOROGORO-mjini NICHEK KABLA ya Kesho jioni NAMBA 0763304725
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji moja ya simu tajwa hapo juu, napatikana iringa au dodoma.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kutokana na hali ya kifedha iliyopo, si wengi wanaomudu kufanya manunuzi kwa fedha taslimu. Hivyo, sisi DARAJANI FURNITURES tunakutengenezea kitanda cha chuma kwa kulipia awamu...
0 Reactions
69 Replies
26K Views
hizi Ni taili imara zaizi kuliko hizo za mitaani zinzosemwa ambazo hazina viwango
0 Reactions
1 Replies
4K Views
KARIBU UKIWA NA MTAJI WAKO WA ELFU 67500/= tu ____________ ubadilishe maisha na fursa tamu BITCLUB ADVANTAGE KARIBU UJIFUNZE KISHA UWEKEZE NICHEK KW namba 0763304725 whatsapp/call/sms n.k...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Zimetumika mwezi mmoja na nusu ni leza hazina mpasuko wowote Sababu ya kuuza nataka badilisha mwonekano wa sitting room yangu Zipo kubwa la watu wawili na madogo mawili...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
SAN LG COLOUR :RED CC :125 NO:MC 464 BBA BEI LAKI NANE (800000)TU INA KADI
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Nauza simu mpya za samsung na iPhone samsung s6 (32gb)bei ni laki 6 na 20 tuu,samsung s6 edge plus (32gb)laki 7 kamili na iphone 6s(16gb) laki 8 na 20 tyuuu. Simu zote ni mpya.. Unazipata zikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0622060797 0683928358...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heka 5 6m Hati ya kijiji Hombolo! Haina DALALI BARABARA mpaka site! Bamboos trees ! Ndega wazuri WA aina mbalimbali Km 35 toka Mjini Dodoma Km 1 toka BARABARA juu ya Hombolo! The future is not...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wadau, Kama kuna mtu ana kioo cha tv ya flat singsung inch 21 tuonane, Nipo Dar es Salaam.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Computer TOSHIBA 4GB RAM inauzwa 320000/=
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Back
Top Bottom