Pascalzebalozi
Member
- Sep 30, 2015
- 73
- 20
Yeyote mwenye iphone six plus au 7 ambayo haijatumika zaidi ya miezi 6 tuwasiliane. Natoa dau zuri.Bei isizidi 500k kwa iphone 6 na 700k kwa 7
Hata kama vyuma vimekaza huyo mwenye iphone 6+, 7 anaeuza kwa bei hiyo labda ana njaa ya kufa, ila kwa mimi bora niiweke kwenye droo gheto tu.