Wadau kuna bosi kafunga duka lake la bidhaa hiyo ya bajaji na bodaboda na anatafuta mnunusi kwa bei ya kariakoo. Vifaa vinapatikana mbesi makonde eneo la soko. Karbuni kwa kununua. Piga namba...
Samsung galaxy s5 used but in good condition
TZS250,000
Camera 16mpxl
Internal 16gb
Ram 2gb
Size 5.1 inch
With finger print lock
Bado iko vizuri contact 0653670104
New HUION H420 4" x 2.23" Professional Signature Graphics Tablets Digital Pen Tablets USB Art Drawing Tablets Black Ship from RU
Quickview
This graphics tablet is widely used by designer, artist...
*TUNAKURAHISISHIA SHANGWE ZA SIKUKUU NA HALOTEL
*Jipatie Mojawapo ya Vifurushi Orodheshwa kwa Bei Poa Kabisa*
1: GB 15, dakika 650 mitandao yote na dakika 800 halotel.
2: GB 1.5 dakika 1100...
Call/txt/whatsapp: 0765961152
Nauza earphones OG kutoka Vietnam kwa bei ya jumla na rejereja,
Choice of color: Black/White
Feature: Zina mic na sehem ya kupandisha sauti, waya mgumu usiokatika...
Wakuu wa nchi Nina wazo la biashara nahitaji patner tunaweza kufanya naye nimeshaifanya tathimini inalipa sana ,
Nitumie sms please Kwa maelezo zaidi
,
Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ;
Business Cards
Flyers
Brochures
wheelcovers
Delivery note
Invoice book
receipt book.
na mengine mengi tunatengeneza...
Habari?
Kwa wale wapenzi wa riwaya, Kitabu cha Dar es Salaam usiku cha mwandishi hayati Ben Mtobwa kitapatika kuanzia tarehe 7 ya mwezi wa nane kwa bei ile ile ya shilingi elfu 10,000 tu. Kwa...
niko masaki mtaa wa slipway natafuta fundi nguo nimuajiri,awe anajua kushona nguo kwa fashion na mchoro utakaopewa na designer.....namba yangu ni 0784177507
Nahitaji chumba cha kupanga Ubungo Msewe, kikiwa master itakuwa vizuri/ kikiwa chumba na sebule na pia nyumba iwe na usalama .
Anayejua naomba tujulishane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.