Natafuta shamba la kulima mkoani morogoro

Natafuta shamba la kulima mkoani morogoro

motowagesi

Senior Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
126
Reaction score
47
Wakuu habari zenu napenda kuwasilisha mada yangu hapo juu naomba mwenyeji wa morogoro hususani kwenye ardhi yenye rutuba anitaftie shamba la kulima mwenye eneo au anaepafahamu vizuri morogoro anaweza kunielekeza maeneo yapi yanafaa kwa kilimo cha mahindi.na uhitaji wa eneo kubwa hivyo bc naombeni msaada wenu wadau.au tuwasiliane kwa 0653058181
 
Unahitaji heka ngapi,sehemu za kulima mahindi zipo nyingi sana. Kama hutojali nakukaribisha the golden land Kilosa sehemu inayokubali kila aina ya zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom