Nauza pikipiki (mpya)

Nauza pikipiki (mpya)

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Habari wadau,

Mwaka naona hauniishii vizuri. Nauza pikipiki yangu SANLG SL125-5,

Brand new (bado ipo kwenye nylon zake), haijawahi kuendeshwa (0km), imelipiwa bima kubwa (comprehensive). Ipo tayari kuingia barabarani au kwa matumizi binafsi.

Bei: TZS 1,800,000.00

Mawasiliano: PM

Picha:
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.51.jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.51 (1).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.51 (2).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.51 (3).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.52.jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.52 (1).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.52 (2).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.52 (3).jpeg
WhatsApp Image 2017-12-28 at 11.35.52 (4).jpeg

Karibuni.
 
Nitatuma baadae, zipo sehemu ya parking.
 
Habari wadau,

Mwaka naona hauniishii vizuri. Nauza pikipiki yangu SANLG SL125-5,

Brand new (bado ipo kwenye nylon zake), haijawahi kuendeshwa (0km), imelipiwa bima kubwa (comprehensive). Ipo tayari kuingia barabarani au kwa matumizi binafsi.

Bei: 1.8M
Mawasiliano: PM

Picha:
View attachment 661619 View attachment 661620 View attachment 661621 View attachment 661622 View attachment 661623 View attachment 661624 View attachment 661625 View attachment 661626 View attachment 661627
Karibuni.
NApishana na pesa, haki ya nani tena.
 
Aisee asante sana kwa taarifa. Biashara njema ukifanikiwa kuuza katoe sadaka ya kumshukuru Mungu wako. Mimi vyuma bado havina grease kufungua vinahitaji ugali wa kisukuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom