Heshima mbele wadau
nina ka project kangu ka ujenzi wa ghorofa moja simple. sasa imefikia wakati wa kumwaga jamvi kwenye msingi kabla ya kuanza kupandisha tofali. Napenda kujua nawezaje kupata...
Wadau habarini
Nipo Dodoma, naombeni kama kuna mtu anauza ipad brand ya sumsung au dell tuwasiliane kwa nambari 0785777710. Nahitaji TABLET iwe brand ya sumsung au dell.
Asanteni
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kufahamu ubora wake, ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare zake. Pia ili nipate iliyo bora niandae budget ya shilingi ngapi?
Ni hayo tu
Kwema wana Jamii forums?
Kama kichwa cha habari kinavyojileza
Nauza viti viwili vya kunyolea vipo katika hali nzuri sana bei ni 450,000 kwa vyote.
Kwa mawasiliano ni PM.
2018 Year is coming ! Are you expecting to take the chance to purchase a desired web hosting package at a low price? If the answer is yes, then you should not miss this collection of the best web...
Nina tv yangu led lg 43" nikiwasha ilikuwa inakata kata sauti kisha sasa hiv inawaka tu standby ila kioo hakidisplay chochote kile na ukifanikiwa kuona picha basi kioo n clear hakina mistari
Je...
Basi la new force kutoka kyela kwenda dar basi la nne Leo mmetukwaza abiria wenu. Basi la ruti za dar Moro Leo mnalifanya litoke kyela kwenda dar. Yani likijitahid speed kubwa 60. Badilikeni...
Habari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Spacio new model au IST.
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.
Aliye na gari anitumie meseji kwenye...
Wekeza kwaajiri ya bar na Guest au dispensary nunua nyumba Kwa bei ya kutupa mil. 16 tuu Ina vyumba vitatu vya kulala,sebure jiko,kisima kirefu cha maji,frem za maduka,gypsam na Ina kiwanja...
kutokana na mchezo mchafu unaofanywa na makampuni ya ving'amuzi namaanisha kukatika kwa channel zote pia malipo kuwa ya juu sana vile vile hili swala la kusaidia wananchi TCRA wameshindwa kabisa...
Ipo tabata
Ni nyumba mpya ya kisasa
Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master
Bei mil 75 mazungumzo yapo
Kwa aliye serious anichek pm kwa maelezo zaidi
Wakuu heri ya sikukuu ya Noeli,nlikua naulizia bei ya tifali za interlocking kwa sq meter ni kiasi gani?pia ukilinganisha na hizi tofali za kawaida kuna unafuu kwa kiasi gani??nipo dar wakuu.
Kwa yeyote mwenye tatizo la kisukari au kumjua mtu mwenye kisukari awasaliane na namba hii 0716439433 . Imemsaidia saana ndugu yangu alikuwa akatwe mguu lakini amepona kabisaa!! KIZURI KULA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.