cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,148
- 1,851
Mini ni mjasiliamali nipo Morogoro mjini, ninajishughulisha na biashara ya electronics kama vile computer, laptop, tv, radio, friji nk, nina frem ambayo naimiliki kihalali kabisa kwenye jengo la CCM, tatizo mtaji wangu ni mdogo sana ivyo kwa yeyote atakayekuwa tayari kufanya kama uwekezaji kwa kunidhamin mzigo kwa mali kauli bas ani PM ili tuweze kuelekezana jins ya kufanya.
Nimeweka bandiko hili sababu wapo watu nje ya Moro wanatamani mimi natafuta mtu wa kunidhamini biashara malipo ya frem na kodi zote ni juu yangu . Masharti kwa anayetaka kuwekeza ni kwamba bei ziwe za kawaida ili na mimi niweze kupata japo kidogo! atakayekuwa tayari anaruhusiwa kuja kuangalia eneo la biashara ili kama atakuwa tayar tufanye taratibu za mkataba kwa mwanasheria au hata kwa serikali ya mtaa kisha tuanze kupiga kazi