Z zingo1 Member Joined Jul 8, 2017 Posts 6 Reaction score 2 Jan 2, 2018 #1 Kiwanja kinauzwa kipo vianzi malela Mkuranga. Lina ukubwa wa 50 kwa 50 square meters,. Kama utakihitaji tuwasiliana
Kiwanja kinauzwa kipo vianzi malela Mkuranga. Lina ukubwa wa 50 kwa 50 square meters,. Kama utakihitaji tuwasiliana
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,595 Reaction score 21,260 Jan 3, 2018 #2 Mbona katika picha hapo kuna nguzo z umeme? N ww ujasema km kuna umeme?
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,531 Reaction score 18,727 Jan 3, 2018 #3 Hicho kiwanja nani anunue kwa Billion 900.??