Asali inatakiwa

Asali inatakiwa

Gong32

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
179
Reaction score
191
habari wana jf kama kichwa cha habari kinavo jieleza hapo juu, kwa yoyote ambae ana asali anicheki kwa namba hizi 0788597816
 
Mkuu nivema ungesema unahitaji kiasi gani na yakiwago kipi labda iliyo chujwa au ya makapi nakwabei gani ili tujue hitaji lako
 
taja kiasi...hapa nyuki ndipo walipo funga ndoa...na asali ikaolewa...hata ukitata litre 50,000 zipo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom