Samsung galaxy tab 10.1 for sale

Samsung galaxy tab 10.1 for sale

lwamu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
927
Reaction score
1,078
Nauza tablet aina hapo juu kwa anaehitaji nicheki 0764634970 bei 4000000 nipo magomeni mwisho kesho saa 5 asubuhi ni shida ya ghafla.
 
"Mwisho kesho saa tano asubuhi...shida ya ghafla"

Kwa hiyo baada ya hapo huuzi unaenda mazabe au utatekwa na ma mafia uliowakopa?

Hebu sema, inayo GSM slot? Pa kuwekea sim card au tuwekee model namba kurahisha maelezo.
 
Back
Top Bottom