Kiwanja chenye ukubwa wa eka moja kinauzwa Morogoro

Kiwanja chenye ukubwa wa eka moja kinauzwa Morogoro

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,148
Reaction score
1,851
Habari zenu wana jamvi,

Kwa anayehitaji kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na biashara ani PM! Kiwanja kipo sehemu nzuri tu sio mbali na mjini na bei yake pia ni ya kawaida sana, pia hatua za awali za upimaji zimeshaanza, ivyo kwa mawasiliano ya simu mnicheck kwenye no 0715-546818
 
habar zenu wana jamvi, kwa anayehitaji kiwanja chenye ukubwa wa ekar moja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na biashara ani PM! Kiwanja kipo sehemu nzur tu sio mbali na mjin na bei yake pia ni yakawaida sana, pia hatua za awali za upimaji zimeshaanza, ivyo kwa mawasiliano ya sim mnicheck kwenye no 0715-546818
Bei gan mkuu na ni moro sehemu gan
 
habar zenu wana jamvi, kwa anayehitaji kiwanja chenye ukubwa wa ekar moja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na biashara ani PM! Kiwanja kipo sehemu nzur tu sio mbali na mjin na bei yake pia ni yakawaida sana, pia hatua za awali za upimaji zimeshaanza, ivyo kwa mawasiliano ya sim mnicheck kwenye no 0715-546818
Taja sehem na n sh ngap mbn tangazo lipo nusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom