Hivi jf tangazo unalipia?

Hivi jf tangazo unalipia?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,298
Reaction score
5,815
Salute,

Nilileta uzi wa kuuza kiwanja, baadaye nikashangaa uzi umefutwa.

Kama unalipia tangazo mngenambia nilipie tu.

Uzi wangu wa tatu mmefuta jana.

Au mnabifu na Mimi mods?
 
Hata huu mkiamka mtaufuta
 
Back
Top Bottom