Shamba lipo magoza.
Ukifika njia panda mvuti dar es salaam unaelekea upande wa kushoto utafika hadi shamba la mageleza magoza.
Ukitoka magoza unatafuta mtaa wa mji mpya.
Shamba linauzwa milioni 50.
Anayehitaji ani pm.
Shamba lina passion takriban heka 4.
Shamba lina mitiki isiyopungua alfu ishirini.
Pamejengwa vyumba vitatu vya matofali na bati kwa ajili ya vijana wa shamba.