MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Salaam wakuu, Mimi niko mikoani nahitaji gari tajwa hapo juu.
Hajaomba ushauri, we mwambie ataipata wapi ebooh!Utajuta kuitaji hii, hii kiboko ya kukata cable ya clatch.
Ntaipataje?Nimemuuliza bajeti yake VP,,,
Mkuu sema bajeti yako,,bajeti yako itadetamain ni gari ya hali gani uitakayo,,maana ukiwa na 2m utapewa ya bei hiyo so umejipangaje?Ntaipataje?
Mkuu umesema kweli,,watu watu wameshindwa kuvitunza hivyo vigari,,wanaviovalod,,vinabeba kg 350 atu wanavibebesha kg 700 to 750 wapi na wapi lzm vifeAsikudanganye hichi kigari kizuri mno hasa kwenye wakati huu mambo ni mazito kina cc ndogo kigumi balaaa
Unataka ya yard au ya mkononi!Salaam wakuu, Mimi niko mikoani nahitaji gari tajwa hapo juu. View attachment 671023View attachment 671024
Yani hata km nicha mkononi, ili miradi kiwe hakicha choka, kwani cha Yard ni km sh ngapi na cha mkononi ni ngapi?Unataka ya yard au ya mkononi!
Unataka auto au manual!
Bajet yako ngapi!
Ova
We sema km unacho nijue, hela sio tatizo, Ndio maana Nimeomba msaada wa kukipata.Mkuu sema bajeti yako,,bajeti yako itadetamain ni gari ya hali gani uitakayo,,maana ukiwa na 2m utapewa ya bei hiyo so umejipangaje?
Mwambie nduguyo aache kiherehere.Hajaomba ushauri, we mwambie ataipata wapi ebooh!
Wapakistan yard wanaziuza 8m,7.5mYani hata km nicha mkononi, ili miradi kiwe hakicha choka, kwani cha Yard ni km sh ngapi na cha mkononi ni ngapi?
Nmetoka kuongea na mpakistan ana yard yke Anayo moja ya silver anaiuza 8.5m,ila ni manual,hyo 8.5 ni mpka usajili Kma itakufaa nikunganishe naye upambane naye lenye beiWe sema km unacho nijue, hela sio tatizo, Ndio maana Nimeomba msaada wa kukipata.
Km 5 anaweza kumchukua tufanye mchakato.Nmetoka kuongea na mpakistan ana yard yke Anayo moja ya silver anaiuza 8.5m,ila ni manual,hyo 8.5 ni mpka usajili Kma itakufaa nikunganishe naye upambane naye lenye bei
Ova
Hiyo 8.5 iko yard Chases # unafanyiwa Mpk usajili.....unaweza kuzungumza nao ukapunguziwa bei pia ....Km 5 anaweza kumchukua tufanye mchakato.