Bragg apple cider vinegar inahitajika

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
12fd7b017ca5a09bf9bbb6693c869887.jpg

wakuu nahitaji sana apple cider vinegar brand kama hiyo kwenye picha. wapi inapatikana?
 
Sexer, unataka kuongeza nguvu za kiume?

Au mama yeyo ana UTI?

Kama upo Dar, basi jaribu sea cleaf village super market, japo sina uhakika lakini jaribu.

nipo mwanza, ila nilipodhuru dar last time nilitafuta pale mlimani city na super market kadhaa nikakosa, sijui kwa nini hii brand ni adimu sana hapa nchini?!
 
kwani ziko za aina ngapi?
kama mwanammke anaetaka kuweka sawa mambo ya u.t.i/fangas au matatizo ya hedhi

anatakiwa anywe ipi?
Tsh ngapi zinauzwa
 
Cheki na wafanyakazi wa US Embassy huwa wanaziagiza toka kwao kwa matumizi yako binafsi.Kwenye ma supermarket sidhani kama utapata.
 
Cheki na wafanyakazi wa US Embassy huwa wanaziagiza toka kwao kwa matumizi yako binafsi.Kwenye ma supermarket sidhani kama utapata.

kwenye masupermarket nimetafuta mno sijapata
 
sea cliff nenda.. 55k chupa hizo
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-10-24 at 7.15.35 AM.jpeg
    WhatsApp Image 2017-10-24 at 7.15.35 AM.jpeg
    79 KB · Views: 164
Jamanii eeeh!hebu tuelezeni inasaidia nini na sisi tujue,eboh!isijekuwa mmegundua makinikia ya kuongeza ubabe kwa mama sie tunaishia kula mihogo na vifuu vya nazi kwenye foleni!
 
Jamanii eeeh!hebu tuelezeni inasaidia nini na sisi tujue,eboh!isijekuwa mmegundua makinikia ya kuongeza ubabe kwa mama sie tunaishia kula mihogo na vifuu vya nazi kwenye foleni!
basically wenzetu wanatumia kwenye mambo mengi.. kwajili ya joints..wazungu miguu ikiwasumbua huwa wanatumia hii..kuipaka na chumvi na kuifunga kwa gause kwenye joint..for a week unakuta mambo shega..ila sasa wa tz wenzangu wavumbuzi sana sijui wametatua nini kingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom