Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natoa elimu kwa wajasili amali [emoji117]kutengenez mvinyo wanyany or tomato wine[emoji117]nafundish kutengeneza batki[emoji117]nafundish kutegeneza jam [emoji117]kutengeneza...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Kupitia Jukwaa la Vijana kutoka kampuni ya mawasiliano yenye kasi zaidi nchini Tanzania, tunawaletea OFA kabambe ya #Pinduapindua yenye punguzo la mpaka asilimia 50 katika migahawa, saluni, hoteli...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Sold sold sold
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauza laptop Hp bei chee kabisa.. Laki na nusu tyuu.. Haddisk yake ni 300gb Ram 2gb Tatizo ni battery halikai na chaji bhac.. Kingine kila kitu kipo sawa.. Mawasiliano 0716026555 0685 436 107
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari. Najihusisha na biashara ya dagaa wa mwanza natafuta masoko katika mikoa ya kusini. Ambaye atataka kununua au anamjua mfanyabiashara atakayehitaji aje PM tuyapange
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0622060797 0683928358...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata kuku broiler week 7 kwa7500 maeneo ya RUAHA karibu na chuo cha asukari morogoro #0759082811
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Naitaji pickup single cabin ya mojawapo kati ya hizi zifuatazo 1. Nissan hardbody, 2. Toyota hilux 3. Toyota Landcruiser Sifa. - iwe kwenye hali nzuri - iwe na four wheels drive(4wd) Ofa. -...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asante kwa walionisaidia.
0 Reactions
9 Replies
882 Views
Wanabodi, this for serious Car sellers. Nataka kununua gari, nina 4.5m/=. Specs :- Cc isizidi 2500 Milango 4 Petroli Boot iwe kubwa Zima halihitaji marekebisho.. Lisiwe limegongwa au kuchoka sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari,Mashine aina hiyo hapo chini kwenye picha inahitajika,kwa yoyote anaeiuza awasiliane nami kupitia namba hii 071-667-9229 ili biashara ifanyike.Napatikana Dar es salaam.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Mteja, Ni matumaini yangu U mzima wa afya, Je unanyumba inayohtaji marekebisho au Boma la nyumba ambalo wapenda liwe nyumba bora kabisa au unatazamia kujenga upya nyumba bora na ya kisasa...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Viwanja vipo kibamba,kibaha nk mawasiliano 0717342414/0788492588
1 Reactions
28 Replies
11K Views
sikuhz kuna kampuni nyingi dar es salaam zinazojihusisha na mikopo tajwa hapo juu.ni nini kimefichika kwenye hizi kampuni.je,zimesajiliwa kwa shughuli hizo au ni utapeli mtupu wabongo wanalizwa?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina Fremu nauza kama unataka kuweka screen kwenye gari yako Altezza/Lexus is200/300. Bei ni 70,000 tu Pia nauza OBD2 Bluetooth diagnostic scanner kwa bei ya 30,000 (Inakuja na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa ekari 5.2 kinauzwa Dodoma mkabala na NHC Iyumbu Estate Centre ambapo rais alizindua mradi wa Iyumbu Estate Center na kununua nyumba 60. Mradi wa NHC ni nyumba 300. Eneo...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Je wewe ni mjasiliamali ungananami upate ujuzi ninafundisha kutengeneza tomato wine,kutengeneza gam ,chili juice na kukausha mboga kwa madray ya kisasa kutengeneza batiki mbalimbali nimesapewa...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Kitanda kipo Tegeta Kibaoni DSM karibu kabisa na Kibo complex. Bei ni 160,000 tu,maelewano yapo.0714-796778 au whatsapp 0628-615685
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu nauza line za uwakala MPESA na Tigo Pesa line zinafanya kazi kabisa nikikupa wewe ni kuanza kazi tu na nimezitumia karibia miaka miwili na sijawahi pata tatizo...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…